Thursday, June 14, 2012

Pole Dada yangu Sauda Mwilima kwa kupoteza mtoto


Presenter mahiri wa kituo cha Star Tv hasa kipindi cha Muziki wa Kizazi kipya 'BONGO BEATZ" Dada SAUDA MWILIMA alijifungua mtoto wa Kiume juzi kuamkia jana ktk hospitali ya Kinondoni kwa Doctor Mvungi,lakini kwa bahati mbaya mtoto wake alifariki dunia
Sauda bado yupo hospitali na afya yake inaendelea vizuri kabisa.

No comments:

Post a Comment