Wednesday, April 18, 2012

Rihanna na Ganja Live Live


Katika festival ya Coachella iliyofanyika weekend iliyopita na kuwavutia stars tofauti wakiwemo Snoop Dogg, Warren G, Katy Perry, 50Cent na Eminem, Rihanna amenaswa akiblaze kitu cha ganja live akiwa amechorwa ‘THUG LIFE’ tumboni, ambao ni msemo ulihusishwa sana na rapper marehemu Tupac.
Picha hiyo ya Rihanna inayozinguka mtandaoni inamuonyesha Barbados babe huyo akiwa na snoop na Warren G akiwa na bonge la joint mdomoni.
Wadau wengi wa muziki wamepokea kwa hisia tofauti picha hii huku wengi wakimhofia Rihanna kuenda ‘too far’ na image yake ya Good Girl Gone Bad.
Mdau unaonaje?

No comments:

Post a Comment