Sunday, April 22, 2012

THE ALBUM 'YA 5. THE BEST OF LADY JAY DEE IS NOW AVAILABLE ON iTUNES...!!!


Sasa Album mpya ya LADY JAYDEE.  
Inayoitwa 'Ya - 5 The Best Of Lady Jaydee' inapatikana online kupitia Itunes
Wapenzi wa muziki wa KiTZ na wapenzi wa muziki wa Jide wanaweza kufata kupitia link hii ya itunes;
Naridhika Sana kwa Support ninayopata..
Asante
With Love,
Jaydee...

No comments:

Post a Comment