Sunday, April 22, 2012

KESI YA ELIZABETH MICHAEL 'LULU' KUTAJWA TENA LEO MAHAKAMA YA KISUTU...!!!

Kesi ya kuhusika na mauaji ya Steven Charles Kanumba inayomkabili Elizabeth Michael “Lulu” inatarajiwa kutajwa tena leo  tarehe 23/04/2012 jijini Dar-es-salaam baada ya kuwa imeshatajwa mara moja na upande wa mashitaka kudai kuendelea na uchunguzi na hivyo mtuhumiwa Lulu kuendelea kusota rumande.

No comments:

Post a Comment