Friday, February 24, 2012

HAWA NDIO WAREMBO WALIOSHINDA KATIKA SHINDANO LA MISS KISIWA 2012

Kwa niaba ya kamati nzima ya maandaliz napenda kuchukua nafasi hii kumtangaza kwenu MISS KISIWA 2012 bibie DIVVA HIDAYAT alieibuka kidedea ktk kinyanganyiro hiki akifuatiwa na SINYORITA SINYORA ambae amechukua nafas ya pili na nafas ya tatu imechukuliwa na SAMIAH CHELSEA.

Kamati imeandaa zawadi kwa washnd wote ambazo watapokea hv punde
kura zlikua kama ifuatavyo ikiwa ni mjumuiko wa kura za leo na max walizopata washiriki katka kujibu maswal jana:

 Diva.....49
         Sinyorita.....42 
      Samiah.....25
 
Ðïvvä Hìdäýättý










"Napenda kutoa shukran kwanza kwa WADHAMINI coz bila wao shndano lcngefanyika, pl shukran kwa WASHIRIKI wote 2lioshrk Mis Kisiwa, 3 kwa membrz wote walionpgia kura coz bila wao m nsngefikia hapa then shukran zangu za mwsho kwa MEMBERZ wote waliokuwa wanansapot tokea shnda lianze mpaka kufkia tamati... Thanx Kamati ya Zawad kwa zawad yenu... Nawapenda na ntazd kuwapenda Peace n Love itawale ndan ya group le2" 



Sinyoritta Sinora

Samiah Chelsea Tru Blue

No comments:

Post a Comment