Esher salim ni mwigizaji anae kuja kwa kasi katika bongo movies ,tunaweza kumuweka daraja moja na kina Jackline Wolper , Irene Uwoya na Wengine . Movies alizo cheza mpaka sasa ni kama zifuatazo: 1.Mrembo Kikojozi, 2.Dada Sharon, 3. I can't forget, 4.Kisasi cha Utata, 5.Kinyonga, 6.Sangoma, 7.Samanta, 8 Toba , 9.The Waiter, 10.Maisha , 11.Mwanasheria
 |
No comments:
Post a Comment